Kampeni ya Kutangaza Fao la Elimu wilaya ya Temeke
Mgeni Rasmi Mke wa Waziri Mkuu Mhe. Mama Tunu Pinda katika kampeni ya kutangaza Fao la Elimu katika Viwanja vya DUCE vilivyopo Chang'ombe iliyoandaliwa na Kanda ya Temeke Tarehe 23/03/2013
Kampeni ya Kutangaza Fao la Elimu wilaya ya Ilala
Date: 19-Mar-2013
Mgeni Rasmi Meya wa Manispaa ya Ilala Mhe. Jerry Slaa katika kampeni ya kutangaza Fao la Elimu katika shule ya msingi Kigilagila iliyoandaliwa na Kanda ya Ilala Tarehe 19/03/2013
Association of Tanzania Employers (ATE) - Employer of the Year Award ceremony at Mlimani City.
Date: 18-DEC-2012
The Director of Internal Audit Mr. Hosea Kashimba representing the Director General in receiving a trophy for
"Staff Training and Development" award during the Ceremony.