Switch to English
         
Facebook
Kuhusu PPF

PPF ni mfuko wa Pensheni ulianzishwa kwa Sheria ya Pensheni ya Mashirika ya Umma (Sura Na. 372) chini ya kifungu cha 6(1) kwa madhumuni ya kutoa mafao ya uzeeni na mafao ya aina nyingine kwa wanachama wa Mfuko huu.

 

Mfuko huu ulianzishwa Julai, 1978.