QUICK LINKS
TRADITIONAL BENEFITS
Ugonjwa
Sifa Zinazohitajika
Kuondoka katika ajira kwa sababu za ugonjwa
Taratibu za Utoaji wa Mafao ya Ugonjwa
- Endapo muda wa kuchangia ni miezi 180 au zaidi, Mafao ya Mkupuo mara tu anapoondoka katika ajira, Mafao ya kila mwezi hadi mwanachama atakapofariki bila ya kuangalia umri wa mwanachama
- Endapo muda wa kuchangia in chini ya miezi 180, Mafao ya mkupuo mara tu anapoondoka katika ajira
Nyaraka Zinazohitajika katika Mafao ya Ugonjwa
- Fomu ya madai ya mafao iliyojazwa na mwajiri
- Nakala ya taarifa iliothibitishwa na Daktari kuhusu ugonjwa wa mwanachama
- Picha mbili za mwanachama (Pasipoti saizi)
- Maelezo ya banki- jina na akaunti, kwa ajili ya malipo ya pesheni ya kila mwezi.